Upokonyaji wa Ardhi (Land Grabs Swahili) from ndio Watch Video
Preview(s):
Gallery
Play Video: (Note: The default playback of the video is HD VERSION. If your browser is buffering the video slowly, please play the REGULAR MP4 VERSION or Open The Video below for better experience. Thank you!)
Description: Je, unyakuzi wa mashamba ni nini? Ni kwa nini unyakuzi huu unafanyika na ina madahra gani?nJamii asili dunia nzima wanaona ardhi zao zikitishiwa na sekta za madini, viwanda na kilimo na pia miradi ya maendeleo na kuhifadhi utalii. Filamu hizi zinatazama viwango vya vitisho, wanaoongoza kufanya vitisho hivyo na pia athari za uporaji wa ardhi ulimwenguni. Katika filamu hizi tunasikia taarifa kutoka wanajamii bara la Asia,America ya kusini na Africa ambao ndio wa kwanza kupata dhoruba la athari z