MIAKA 26 TRENI HAIJAWAHI KUKANYAGA MOSHI; TUMEAMUA, LEO TRENI INAENDA KILIMANJARO! - JPM from ndio Watch Video
Preview(s):
Gallery
Play Video: (Note: The default playback of the video is HD VERSION. If your browser is buffering the video slowly, please play the REGULAR MP4 VERSION or Open The Video below for better experience. Thank you!)
Description: “Miaka 26 treni haijawahi kukanyaga Moshi! Wakati wa Nyerere, treni ilikuwa inakanyaga. Akaja Mwinyi, ika-stop! Ah, ndio ukweli!! Ni lazima tuzungumze hapa.. tusipousema ukweli, tutakuwa tunadanganyana! Miaka ishirini na sita; Haikukanyaga treni Moshi (Mkoani Kilimanjaro) Kwa lugha ya Kisukuma tungejiuliza, WHY!? Lakini TUMEAMUA; Leo treni inaenda huko (Kilimanjaro) Mtu wa kawaida anaweza kuona ni maajabu. Sio kwamba tulikuwa hatuna hela; Hatukujipanga vizuri!” - Rais Magufuli n08 Disemba, 2